IJUE BIBLIA | KNOW THE BIBLE
Tafakari ya somo hili je tunahitaji kuwa na Roho Mtakatifu?
kwa kawaida mwanadamu anapitia changamoto nyingi sana katika maisha yake. Na njia ya pekee ya kupata maarifa sahihi na kuendelea kuwa na imani na tumaini kwamba jambo hilo ama changamoto hiyo anayopitia ni ya Roho Mtakatifu.
Maarifa sahihi yanapatikana kwa kujifunza kutoka chanzo sahihi na hapa ni Roho Mtakatifu pekee ndie atoae maarifa sahihi.
Roho Mtakatifu pekee ndie awezae kutukumbusha ahadi zile tulizopewa tokea mwanzo.
Nakutakia tafakari njema na karibu tushirikishane kwa yale unayojifunza.
Mungu wa Mbinguni akupe Roho wa ufunuo na wa Maarifa ukamjue Mungu zaidi.
KUNA HAJA YA KUWA NA ROHO MTAKATIFU?
Yohana 14:26
26 Lakini yule Msaidizi, yaani Roho Mtakatifu, ambaye Baba yangu atamtuma kwenu kwa jina langu, atawafundisha mambo yote, na kuwakumbusha yote niliyowaambia.Tafakari ya somo hili je tunahitaji kuwa na Roho Mtakatifu?
kwa kawaida mwanadamu anapitia changamoto nyingi sana katika maisha yake. Na njia ya pekee ya kupata maarifa sahihi na kuendelea kuwa na imani na tumaini kwamba jambo hilo ama changamoto hiyo anayopitia ni ya Roho Mtakatifu.
Warumi 8:26
'' Kadhalika ROHO naye hutusaidia udhaifu wetu, kwa maana hatujui kuomba jinsi itupasavyo, lakini ROHO mwenyewe hutuombea kwa kuugua kusikoweza kutamkwa.''Kumbuka mpendwa changamoto unayopitia ni ya muda tuu.
Maarifa sahihi yanapatikana kwa kujifunza kutoka chanzo sahihi na hapa ni Roho Mtakatifu pekee ndie atoae maarifa sahihi.
Roho Mtakatifu pekee ndie awezae kutukumbusha ahadi zile tulizopewa tokea mwanzo.
Nakutakia tafakari njema na karibu tushirikishane kwa yale unayojifunza.
Mungu wa Mbinguni akupe Roho wa ufunuo na wa Maarifa ukamjue Mungu zaidi.
No comments:
Post a Comment