IJUE BIBLIA | KNOW THE BIBLE
39 Yesu alisema haya kuhusu Roho Mtakatifu ambaye wote waliomwamini Yesu wangempokea, kwani mpaka wakati huo, Roho alikuwa bado hajatolewa, kwa kuwa Yesu alikuwa bado hajainuliwa na kutukuzwa.
Tunapoanza anza mwez huu wa 8 tupate tafakari juu ya Roho Mtakatifu.
Tunajifunza katika maandiko juu ya MITO YA MAJI YALIO UHAI YATATOKA NDANI YA KILA MMOJA ALIYE AMINI.
Je mimi na wewe tumeamini?
Je Mito hii ya uhai tunaijua?
Na je mito hii ya uhai imetiririka kwa waaminio?
Katika tafakari Roho wa Mungu akupe Hekima na uelewa na Mito ya uhai ikaachiliwe ndani yako mwezi huu.
MITO YA MAJI YALIO UHAI
Yohana 7
38 Kama Maandiko yasemavyo, ye yote aniaminiye, vijito vya maji yaletayo uzima vitatiririka kutoka moyoni mwake.”39 Yesu alisema haya kuhusu Roho Mtakatifu ambaye wote waliomwamini Yesu wangempokea, kwani mpaka wakati huo, Roho alikuwa bado hajatolewa, kwa kuwa Yesu alikuwa bado hajainuliwa na kutukuzwa.
Tunapoanza anza mwez huu wa 8 tupate tafakari juu ya Roho Mtakatifu.
Tunajifunza katika maandiko juu ya MITO YA MAJI YALIO UHAI YATATOKA NDANI YA KILA MMOJA ALIYE AMINI.
Je mimi na wewe tumeamini?
Je Mito hii ya uhai tunaijua?
Na je mito hii ya uhai imetiririka kwa waaminio?
Katika tafakari Roho wa Mungu akupe Hekima na uelewa na Mito ya uhai ikaachiliwe ndani yako mwezi huu.
No comments:
Post a Comment