IJUE BIBLIA | LISTENING GOD'S VOICE THROUGH GOSPEL SONGS


Breaking News

Wednesday, 7 August 2019

IJUE BIBLIA | WEWE KAMA JIWE HAI

IJUE BIBLIA | KNOW THE BIBLE

WEWE KAMA JIWE HAI


1 Petro 2:5 Neno: Bibilia Takatifu (SNT)

Ninyi pia, kama mawe hai mjengwe kuwa nyumba ya kiroho, mpate kuwa makuhani watakatifu, mkitoa sadaka za kiroho zinazokubaliwa na Mungu kwa njia ya Yesu Kristo.

Ukumbuke wewe ni jiwe imara kwakua Roho Mtakatifu anaishi ndani yako. Simama imara katika yote hakuna lishindikanalo kwa wakati wake.
Tafakari njema na karibu kushirikiana nami na wengine kwa kutujuza unachojifunza kupitia comment box.

No comments: